Una tatizo mpakani?
Liripoti!
💰 🚧 📄 ⏳ 🙅
Rushwa, vizuizi barabarani, karatasi za ziada, ucheleweshaji mrefu au unyanyasaji ni vikwazo vya biashara. Viripoti na serikali inaweza kuviondoa.
- ✔ Bure
- ✔ Jina lako linabaki siri
- ✔ Mtandaoni, programu au SMS
tradebarriers.portal.africa
Huna intaneti? Tuma SMS
Eleza kilichotokea, wapi, lini, na toa namba yako ya simu.